Kutoka Plainsfield, NJ
Sisi ni kikundi cha Dunia mzima amabacho kimeunganishwa na tamani la upendo na kumjua Mungu vizuri ndio kila mmoja wetu aishi kama mtu binafsi vile alivyoumbwa. Tunatafiti Bibilia na maandishi ya Mary Baker Eddy, na kujitahidi kutenda neno la Mungu. Tunawakaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye tovuti yetu.
.