Ulinzi wa Kiakli wa nyumbani
Kutoka kwa Mafundisho na hotuba juu ya Sayansi ya Kikristo
na EDWARD KIMBALL
Kuna Kaya moja: hiyo ni Kaya ya Mungu. Hakuna njia ambayo kosa linaweza ingia kaya hii kuleta hali ya mgawanyiko, hofu, dhihaka, hasira, tashwishi, ukomavu, ukosefu au hali iliyo na mvuto. Hakuna kitu ambacho kinaweza ingia hii kaya au ufahamu kukasirisha au kuharibu; kwani hapa kuna Uhai pekee, na Mungu, Wema unaijaza