Kamili machoni mwa Upendo
GILBERT CARPENTER
Aliye kamilika machoni mwake.
Namuona ndugu yangu binadamu pia, Mtoto mkamilifu wa mwangaza.
Alafu kukamilisha maombi yangu, Namuona akiniona sawa –
Namuona akiniona nikimuona
Kama nimekamilika machoni mwa Upendo.