Sheria ya Mungu ipo katika maneno matatu, Mimi ni yote |

Sheria ya Mungu ipo katika maneno matatu, Mimi ni yote

Kutoka kwa Hapana na Ndio iliyoandikwa na MARY BAKER EDDY, Ukurasa 30 Iliyopatianwa na Florence katika mzunguko wa meza wa Jumapili ya Novemba 29 2020.


Sheria ya Mungu ipo katika maneno matatu, ” Mimi ni yote” na hii sheria kamilifu ipo wakati wowote kukemea madai yoyote ya sheria ingine…… Ni ufahamu wa ukweli wa ukomo wake ambao hukataza uwepo halisi hata wa madai ya uovu. Ufahamu huu ni mwangaza ambao ndani yake hakuna giza, – sio mwangaza ambao unashikilia giza ndani mwake. Ufahamu wa mwangaza ni kama sheria ya milele ya Mungu, ikifunua yeye pekee na hakuna lingine.