Kufahamiana na Mungu
Kutoka kwa toleo la January 17 1914 la mlinzi wa sayansi ya Kikristo na FLORENCE STRATTON WEAVER
Katika kusoma kwetu kwa historia ya Bibilia tunapata kusisitiza kukuu kupitia enzi imekuwa ya wanadamu kujifahamisha juu ya Mungu, na ahadi ya uhai wote na baraka imetajwa kama zawadi ya kufanya vile. Katika Kumbukumbu la Torati mawaidha yaenda kwa wanadamu kumjua Mungu, katika maneno, “ili kwamba mtampenda Bwana Mungu wenu, na kwamba mtatii sauti yake, na kwamba mtamshikilia: kwa sababu yeye ni uhai wenu, na urefu wa siku zenyu.” Katika kitabu cha Ayubu tunashauriwa: “Jifahamisheni naye sasa, na muwe na amani: hivyo wema utaja kwenyu.” Kristo Yesu alitangaza, “ Hii ni uhai wa milele.
Uwiano na fundisho la maandiko haya, Mama Eddy anatupatia sentenci moja ambayo inaonyesha wanadamu katika karne hii njia ya kujifahamisha na Mungu, kwa msemo, “kupitia uwazi wa Sayansi” { Mkusanyiko wa maandishi, ukurasa 183}. Baraka ya ufahamu huu wa karibu na Mungu ulijulikana kwa mwandishi katika kesi ya binti aliyemjua. Huyu binti alikuwa na hali ya ulemavu wa kusikia, Pamoja na hofu ya kupoteza uwezo wa kusikia. Alikuwa kama mtu aliye gerezani, lakini wakati alipokabidhiwa Sayansi ya kikristo aliikumbatia kama vile “swara hutamani maji.” Ukweli ulikaa kumnyeshea kama mvua kwenye nchi kavu na kunyanyuka na kuchanuka kukaanza mara moja.
Baada ya mda wa kama mwezi mmoja baadaye, jamaa aliyekuwa amemuacha binamu wake wakati alikuwa kwenye hofu kubwa, alirudi mjini, na kwa kawaida swali la kwanza lilikuwa, “Kusikia kwako kukoje?” Binti wetu alijibu kwa furaha: “ Oh, sifikiri juu yake kamwe; niko kwenye shughuli ya kujifahamisha na Mungu. Sipotezi mda wowote; ni ajabu kumjua Mungu! Hivi ndivyo Sayansi ya Kikristo inanitendea, na mimi ni kama mtu aliye na furaka kuu duniani!”Huyu binti ni mtendaji wa Sayansi ya Kikristo katika mji ulio karibu. Mwandishi alikutana naye wakati usio mrefu baadaye, na alionekana kusikia vizuri.
Tajiriba kama ile inasaidia. Wakati wowote njia inakaa kuwa na dhiki na shida zinafunganya, ufahamu wa karibu wa Mungu, “ ambaye kwake hakuna mabadiliko, au kivuli cha kugeuka” kwa kweli atakumbana na hali ile. Mama Eddy anaonyesha haya katika “ Wimbo wa sifa” {Kanisa la kwanza la Kristo, mwanasayansi, na mkusanyiko, ukurasa 355}: “Ni wakati upi dunia itaamka kwa nafasi ya kumjua Mungu, Uhuru na ukuu wa uwepo wake, ambapo